Tag: Jeshi la Polisi
Jeshi la Zimamoto latangaza nafasi za ajira kwa waliohitimu JKT
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, John Masunga ametangaza nafasi za kazi kwa vijana waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga ...Jeshi la Polisi lakanusha madai ya CHADEMA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limesema kuwa limesikitishwa juu ya taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuzuia msafara wa Katibu ...Utafiti: Jeshi la Polisi lashika namba 1 kwa rushwa nchini
Takwimu iliyotolewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) imeitaja Jeshi la Polisi kama Sekta inayoongoza kwa vitendo vya ...Taarifa ya Jeshi la Polisi kuhusu Askari aliyempiga raia virungu miguuni
Jeshi la Polisi limelaani kitendo kilichofanywa na Askari Polisi baada ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana mmoja akipigwa na ...Agizo la Dkt. Mpango kwa Jeshi la Polisi
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amelitaka jeshi la Polisi kutenda haki pasipo kuonea mtu yeyote, na kwamba yeyote anayevunja sheria achukuliwe ...Jeshi la Polisi latoa tamko ushauri Kinana
Siku moja baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Abdulrahman Kinana kumshauri Mkuu wa Jeshi la Polisi, IGP Camilius Wambura kuhusu ...