Tag: Jeshi la Polisi
Wambura ateuliwa kuwa IGP, Sirro apelekwa Zimbabwe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo tarehe 20 Julai, 2022 amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- • Amempandisha cheo ...Polisi wakamata mifugo 1,448 iliyoharibu ekari 387 Kilimanjaro
Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo na Migogoro ya Mifugo Tanzania limekamata mifungo 1,448 ambayo imeharibu jumla ya ...Mauaji watu saba Kigoma chanzo ni wivu wa mapenzi, mtuhumiwa akamatwa
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linamshikilia Peter Mors, mkazi wa Mlole Kata ya Mwanga Kaskazini, kwa tuhuma za mauaji ya watu saba ...Wananchi wachoma moto nyumba ya mwenyekiti kwa madai anawaonea
Wananchi wa Kitongoji namba 2, Kata ya Mwakitolyo Wilaya ya Shinyanga wamechoma nyumba ya Mwenyekiti wa kitongoji hicho, Shabani Zoro na kuvunja ...Ukata wa fedha wapelekea vituo 10 vya polisi kufungwa
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hamza Hassan Juma ametoa sababu mbalimbali za kufungwa kwa vituo ...Ulinzi waimarishwa Arusha uzinduzi wa Royal Tour
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishina Msaidizi wa Polisi (ACP), Justine Masejo amesema waambia hali ya ulinzi na usalama katika Jiji ...