Tag: Jeshi la Polisi
Wakamatwa wakiuza sehemu za siri za mwanaume
Mamlaka ya Msumbiji inawashikilia wanaume wawili kwa madai ya kujaribu kuuza sehemu za siri za mwanaume zilizo na majeraha. Viungo hivyo vilivyokuwa ...Sita wafariki ajalini Arusha
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha kutokea kwa vifo vya watu sita na wengine wanne kujeruhiwa katika ajali ya ...Taarifa ya Polisi kuhusu mwili wa Padri uliokutwa ndani ya tenki la maji
Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema linaendelea kuchunguza kwa kina kifo cha Paroko wa Parokia ya Mbezi Mshikamano, Padri Francis ...Aliyekuwa akitumia hirizi kuwakimbia Polisi akamatwa
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bukumbi amesema wanawashikilia watu 10 kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu akiwemo mtuhumiwa mmoja anayedaiwa ...Bibi anyonga kichanga cha siku moja kwa madai ya ugumu wa maisha
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linamshikilia Lenita Asheri (54) kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha mjukuu wake mwenye umri wa siku ...