Tag: Jeshi la Polisi
Wanaodaiwa kusambaza video ya Prof. Jay wakamatwa, wakutwa na lundo la vifaa
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Samwel Mhina (31) mkazi wa Temeke pamoja na wenzake 13 kwa tuhuma ...Polisi wapewa siku 7 kuwakamata walioua wanafamilia watano Dodoma
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa siku saba kwa vyombo kuhakikisha wahalifu waliotekeleza mauaji ya watu wa tano wa familia moja ...Taarifa ya Polisi kuhusu askari anayedaiwa kukamatwa na rushwa
Jeshi la Polisi limesema limeanza kuchukua hatua za kiuchunguza kwa kushirikiana na wadau wengine kufuatia kusambaa mitandaoni kwa picha ya Askari wa ...Askari aliyepandishwa cheo kwa kukataa rushwa milioni 10, avuliwa cheo hicho kwa kukutwa na hatia
Askari Polisi aliyepandishwa cheo na Mkuu wa Jeshi la Polisi kutoka Sajenti kuwa Stesheni Sajenti mwaka 2019 ameshushwa cheo na kurudi katika ...Prof. Lipumba amdai IGP Sirro saa yake
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro kuitafuta saa yake ...