Tag: Jeshi la Polisi
Agizo la Polisi kwa wapenzi wanaotumiana picha za utupu
Jeshi la Polisi limewataka wasichana na wanawake kujitahadharisha na wapenzi au marafiki zao wanaowadanganya wajipige picha za utupu kisha wawatumie. Taarifa ya ...Polisi wafunga akaunti za benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu
Jeshi la Polisi limefunga akaunti zote za Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) katika Benki ya CRDB hatua iliyopelekea ...IGP Sirro awaonya wanasiasa washari, asema wasilaumu vyombo vya dola
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amewaonya vongozi wanaotoa matamshi makali na kuzungumza kwa ushari kuwa wasivilaumu vyombo vya ...Polisi waingilia sakata la mwanamke anayeidaiwa kufumaniwa na mume wa mtu
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limeanza kufanya uchunguzi kuhusu tukio la Vena Mushi kupigwa kwa madai ya kufumaniwa na mume wa mtu. ...