Tag: Jeshi
Adaiwa kuua mtoto ili kulipiza kisasi kwa mama yake
Polisi Mkoani Njombe wanamshikilia Hapiness Mkolwe (27) kwa tuhuma za kumuua mtoto Jackson Kiungo (6) mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ...IGP Wambura afanya mabadiliko makamanda wa polisi
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amefanya mabadiliko madogo ili kujaza nafasi zilizokuwa wazi baada ya Amiri Jeshi Mkuu ...Jenerali Mabeyo: Ukinichanja damu yangu ni JWTZ
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo amesema safari yake katika jeshi imemuimarisha kiutendaji na kumjengea misingi mizuri. Ameyasema hayo leo ...Ashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kujifanya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Warren Max Mwinuka (20) mkazi wa Makondeko Mbeya Mjini kwa tuhuma za kujifanya Mkuu wa Mkoa ...