Tag: jukwaani
Auawa akijaribu kumshambulia msanii jukwaani usiku wa Krismasi
Mwanaume mwenye umri wa miaka 24, anayejulikana kwa jina Anthony Ouma, ameuawa na mashabiki wenye hasira katika klabu ya usiku mjini Bondo ...BASATA yalaani tukio la Zuchu kutupiwa vitu jukwaani
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limelaani tukio lililovuruga utumbuizaji kwa mwanamuziki Zuhura Othman Soud (Zuchu) baada ya kutupiwa vitu jukwaani na ...