Tag: kariakoo
Rais amuagiza Waziri Mkuu kuongeza saa 24 za uokoaji Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji katika jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo Novemba 16, ...Chalamila: Walioziba vichochoro Kariakoo wabomoe kwa mikono yao
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mpaka sasa bado haijabainika chanzo cha moto uliozuka eneo la Kariakoo huku ...Ukweli kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo
Na Hamza Karama, Kariakoo DSM Kwa ufupi; Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo. ...Mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo aomba msaada wa polisi wanaohamasisha mgomo
Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendela kwa wafanyabiashara wa Soko hilo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi ...Waziri Mkuu: Rais Samia anataka kuona biashara zinafanywa kwa uhuru
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema lengo la Rais Samia Suluhu Hassan ni kuona kila mfanyabiashara nchini anafanya shughuli zake kwa uhuru na ...Waziri Mkuu aiagiza TRA kusitisha kikosi kazi cha kukusanya kodi Kariakoo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kusitisha mara moja utaratibu wa kikosi kazi (Task Force) kwenye makusanyo ya ...