Tag: Kassim Majaliwa
Majaliwa: Wagombea wetu wa Urais hawatakuwa na kazi kubwa Uchaguzi Mkuu 2025
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM ambaye pia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaendelea ...Majaliwa: Uwekaji alama za mipaka Pori Tengefu Loliondo umekamilika
●Vigingi 424 vyawekwa kama alama ●Barabara ya kilomita 108 yachongwa mpakani ●Kigingi Namba Moja maalum kumkumbuka askari aliyepoteza maisha. Waziri Mkuu, Kassim ...Maagizo ya Waziri Mkuu kwa Wizara ya Nishati
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Nishati kuendelea kupanua wigo wa matumizi ya nishati ya gesi asilia ili kupunguza athari za ...Majaliwa amsimamisha kazi Mkurugenzi wa Jiji la Arusha
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dkt. John Pima pamoja na baadhi ya ...Serikali yafuta tozo 42 kati ya 47 zao la Kahawa
Serikali imefuta tozo 42 kati ya 47 ambazo walikuwa wanatozwa wakulima wa kahawa wa Mkoa wa Kagera, hivyo kubakisha tozo 5 tu ...Waziri Mkuu aagiza kupigwa marufuku kamba za plastiki
Wizara ya Kilimo imesema inakamilisha sera itakayozuia uzalishaji na matumizi ya kamba za plastiki ikiwa ni mkakati wa kukuza uzalishaji na matumizi ...