Tag: Kassim Majaliwa
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka Watanzania kuiamini serikali vita ya corona
Wakati hatua mbalimbali zikiendelea kuchukuliwa, waziri mkuu amewasihi Watanzania kuiamini serikali pamoja na watalamu wa afya katika mapambano dhidi ya homa ya ...Wizara ya afya Tanzania yaandaa maombi maalum dhidi ya janga la corona
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kesho Aprili 22, 2020 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maombi maalum ya kuliombea taifa dhidi ya ...Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Hatujazuia ibada ili waumini waliombee taifa
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa serikali haijazuia watu kwenda kwenye nyumba za ibada kusalia, ili waumini watumie ibada hizo kuliombea taifa. ...Waziri Mkuu Tanzania Kassim Majaliwa: Viwanda vipya vimetoa ajira zaidi ya laki 4
Viwanda vipya zaidi ya 4,000 vilivyojengwa katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania kuanzia mwaka 2015 vimetoa maelfu ya ajira kwa wananchi ikiwa ni ...