Tag: Kenya
Mama ashikiliwa tuhuma za kuua watoto wake watatu wakiwemo pacha
Polisi wa Mlolongo, Kaunti ya Machakos nchini Kenya wanamshikilia mwanamke aitwaye Linet Mubaba, anayedaiwa kuwapa sumu watoto wake watatu baada ya kutokea ...Mahakama Kenya yazuia mkataba wa ushirikiano wa afya na Marekani
Mahakama Kuu ya Kenya imetoa amri ya kuzuia utekelezaji wa mkataba wa ushirikiano wa afya kati ya Kenya na Marekani hususani kipengele ...Uganda yakanusha kuwashikilia wanaharakati wawili wa Kenya
Jeshi la Polisi nchini Uganda limekanusha kuwashikilia wanaharakati wawili wa Kenya wanaodaiwa kutekwa nyara siku ya Jumatano katika mji mkuu Kampala. Mwanasiasa ...Uchaguzi Mkuu Kenya kugharimu TZS Trilioni 1
Tume Huru ya Uchaguzi nchini Kenya (IEBC) imesema inahitaji KSh bilioni 57.3 [TZS Trilioni 1.09] kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2027, ...Mama amuua kwa moto mtoto wake baada ya kuiba TZS 2,800
Polisi Kaunti ya Kisumu nchini Kenya wanamshikilia mwanamke anayejulikana kwa jina la Jacinter Akinyi (47), kwa tuhuma za kumchoma moto na kumsababishia ...Watano wakamatwa kwa tuhuma za utekaji Kenya
Maafisa wa upelelezi (DCI) katika Kaunti ya Kiambu wamewakamata watu watano wanaoshukiwa kuhusika na tukio la utekaji nyara huko Ruaka nchini Kenya. ...








