Tag: Kenya
Kenya yazuia matangazo ya kamari kwa siku 30
Bodi ya Kudhibiti na Kusimamia Michezo ya Kubahatisha nchini Kenya (BCLB) imetoa agizo la kusitisha matangazo yote ya kamari na michezo ya ...Ripoti: Marekani yathibitisha kundi hatari la Mexico lilikuwa na maabara ya dawa za kulevya Kenya
Serikali ya Marekani imethibitisha kuwa kundi hatari la uhalifu kutoka nchini Mexico, Jalisco New Generation Cartel (CJNG), lilikuwa likiendesha maabara kubwa ya ...Serikali ya Kenya yaendelea kumpambania binti aliyehukumiwa kifo Vietnam
Serikali ya Kenya inafanya juhudi za haraka kuzuia kunyongwa kwa Margaret Nduta (37), Mkenya aliyekamatwa nchini Vietnam miaka miwili iliyopita na kuhukumiwa ...Adaiwa kumkata vipande mke wake baada ya kumfumania na mwanaume mwingine
Mwanaume anayejulikana kwa jina la John Kiama Wambua anashikiliwa na polisi nchini Kenya kwa tuhuma za kumuua kikatili mke wake, Joy Fridah ...Auawa akijaribu kumshambulia msanii jukwaani usiku wa Krismasi
Mwanaume mwenye umri wa miaka 24, anayejulikana kwa jina Anthony Ouma, ameuawa na mashabiki wenye hasira katika klabu ya usiku mjini Bondo ...Benki ya Dunia yapunguza makadirio ukuaji wa uchumi wa Kenya 2024
Benki ya Dunia imepunguza makadirio ya ukuaji wa uchumi wa Kenya kwa mwaka 2024 hadi asilimia 4.7 kutoka asilimia 5.0 ya awali, ...