Tag: Kenya
Kenya: Uchumi mbaya wapelekea baa kubuni mbinu mpya ili vinywaji vinunuliwe
Kutokana na hali ngumu ya kiuchumi nchini Kenya, wamiliki wa baadhi ya baa wamebuni mbinu mpya za kugawa karanga za bure, njugu ...Watalii wa Kenya wakimbilia Tanzania baada ya ada ya kuingia Masai Mara kupandishwa
Seneta wa Narok nchini Kenya, Ledama Ole Kina, ameeleza nia yake ya kuwasilisha kesi mahakamani kupinga ongezeko jipya la ada ya kuingia ...Odinga aiomba radhi Rwanda kwa niaba ya serikali ya Kenya
Kiongozi wa Muungano wa Azimio La Umoja Kenya, Raila Odinga amelaani matamshi tata yaliyotolewa na Waziri wa Uchukuzi wa Kenya, Kipchumba Murkomen ...Ruto: Ndani ya miaka 10 Kenya haitotambulika
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza na kuwahakikisha Wakenya kwamba nchi hiyo itapitia mabadiliko makubwa ndani ya miaka 10 ijayo kiasi cha ...Kenya yapokea uwekezaji wa zaidi ya TZS bilioni 600 kutoka Dubai
Kenya imepokea uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni (FDI) kutoka Dubai wenye thamani ya dola milioni 253 [TZS bilioni 631.9] kwa ...Mwanamke ashtakiwa kwa kuiba majeneza mawili
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameshtakiwa kwa tuhuma za kuiba majeneza mawili na vishikio 26 vya majeneza kutoka kwenye kituo cha uuzaji majeneza ...