Tag: Kenya
Ruto: Ndani ya miaka 10 Kenya haitotambulika
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza na kuwahakikisha Wakenya kwamba nchi hiyo itapitia mabadiliko makubwa ndani ya miaka 10 ijayo kiasi cha ...Kenya yapokea uwekezaji wa zaidi ya TZS bilioni 600 kutoka Dubai
Kenya imepokea uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni (FDI) kutoka Dubai wenye thamani ya dola milioni 253 [TZS bilioni 631.9] kwa ...Mwanamke ashtakiwa kwa kuiba majeneza mawili
Mwanamke mmoja nchini Kenya ameshtakiwa kwa tuhuma za kuiba majeneza mawili na vishikio 26 vya majeneza kutoka kwenye kituo cha uuzaji majeneza ...Kenya, Angola na DRC zilivyoamua kutumia fursa ya wawekezaji wa kimataifa kujiinua kiuchumi
Uwekezaji katika nchi za Afrika umekuwa na umuhimu mkubwa katika kuchochea maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Nchi nyingi za Afrika zimekuwa zikijitahidi ...Kiongozi wa kanisa afariki akiwa na mwanamke hotelini
Kasisi wa Kanisa Katoliki la Jimbo Kuu la Nairobi nchini Kenya ameripotiwa kufariki baada ya kupoteza fahamu katika hoteli moja kaunti ya ...Mwanaume ajichoma moto baada ya mkewe kukataa kumpikia kuku
Polisi nchini Kenya wanachunguza tukio la mwanamume mmoja aliyefariki kwa kujichoma moto baada ya mkewe kudaiwa kukataa kupika kuku nyumbani kwao Uriri, ...