Tag: Kenya
Kundi la Sauti Sol latangaza kutengana
Kundi la wanamuziki maarufu nchini Kenya lilioshinda tuzo nyingi, Sauti Sol, limetangaza ziara ya kimataifa ya kuwaaga mashabiki kabla ya kutengana kwa ...Mfalme Charles III wa Uingereza kuzuru Kenya
Mfalme wa Uingereza, Charles III anatarajiwa kuzuru Kenya mwaka huu kama sehemu ya juhudi za kuimarisha uhusiano na mataifa ya Jumuiya ya ...Kenya: ‘Yesu wa Tongaren’ awekwa kizuizini kupisha uchunguzi
Mhubiri kutoka nchini Kenya, Eliud Wekesa maarufu kama ‘Yesu wa Tongaren’, ameendelea kuzuiliwa katika kituo cha Polisi cha Bungoma kwa siku nne ...Mwanafunzi atolewa korodani baada ya kupigwa na walimu wake
Polisi katika Kaunti ya Kisii nchini Kenya wanawasaka walimu wa Shule ya Sekondari ya Nyabisia huko Bobasi kutokana na adhabu kali ya ...Kenya yakodi ardhi ya kulima mahindi nchini Zambia
Waziri wa Kilimo nchini Kenya, Mithika Linturi na mwenzake wa Zambia, Mtolo Phiri wametia saini makubaliano ili kupata kati ya hekta 20,000 ...Kenya: Wananchi waacha magari majumbani kutokana na bei kubwa ya mafuta
Wakati Tanzania bei ya mafuta ikishuka, nchini Kenya matumizi ya mafuta yamepungua kwa mara ya kwanza tangu 2017, ikiashiria hali ya uchumi ...