Tag: Kenya
Kenya yabaini uwepo wa Mbu asiyekufa kwa dawa za Afrika
Watafiti kutoka Taasisi ya Utafiti wa Tiba Kenya (KEMRI) wamegundua mbu aina ya ‘Anopheles Stephensi’ kutoka barani Asia ambaye anastahimili viua wadudu ...Kenya: Mtanzania ahukumiwa miaka 30 jela kwa usafirishaji haramu wa watoto
Raia wa Tanzania aliyekamatwa nchini Kenya kwa kusafirisha watoto wadogo kutoka sehemu mbalimbali nchini, James Sengo Nestroy amehukumiwa kifungo miaka 30 jela. ...Raia wa Kenya adukua mifumo ya Zimbabwe na kuiba bilioni 280
Mwanamke mmoja raia wa Kenya anakabiliwa na mashitaka ya ulaghai nchini Zimbabwe baada ya kudaiwa kuhusika katika udukuzi wa mifumo ya Mfuko ...Wakenya wachukua mikopo ili kununua vyakula kutokana na mfumuko wa bei
Baadhi ya Wakenya wamelazimika kuchukua mikopo kwa ajili ya kununua chakula baada ya gharama ya maisha kupanda kwa kiasi kikubwa na kupelekea ...Kenya kufuta utaratibu wa wanafunzi wa shule za msingi kukaa bweni
Katibu Mkuu wa Elimu ya Msingi nchini Kenya, Dkt. Belio Kipsang ametangaza mpango wa kuondoa utaratibu wa shule za bweni katika shule ...Kenya yakumbwa na uhaba wa kondomu
Mashirika ya kiraia nchini Kenya yamelalamikia kuwepo kwa uhaba mkubwa wa kondomu za bure kote nchini humo kutokana na ushuru kuwa mkubwa. ...