Tag: Kenya
Wakenya wachukua mikopo ili kununua vyakula kutokana na mfumuko wa bei
Baadhi ya Wakenya wamelazimika kuchukua mikopo kwa ajili ya kununua chakula baada ya gharama ya maisha kupanda kwa kiasi kikubwa na kupelekea ...Kenya kufuta utaratibu wa wanafunzi wa shule za msingi kukaa bweni
Katibu Mkuu wa Elimu ya Msingi nchini Kenya, Dkt. Belio Kipsang ametangaza mpango wa kuondoa utaratibu wa shule za bweni katika shule ...Kenya yakumbwa na uhaba wa kondomu
Mashirika ya kiraia nchini Kenya yamelalamikia kuwepo kwa uhaba mkubwa wa kondomu za bure kote nchini humo kutokana na ushuru kuwa mkubwa. ...Vibanda 6,000 vya mashabiki Qatar kupelekwa Kenya
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Hua Chunying amesema vibanda 6,000 yanayotumiwa na mashabiki nchini Qatar yatatolewa kwa ajili ya ...Kenya: Amuua mpenzi wake akidai aligeuka mzimu na kutaka kumla
Mwanamume mwenye umri wa miaka 59, Wangethi Chege amejisalimisha polisi katika eneo la Kasarani, Kaunti ya Nairobi baada ya kudaiwa kumuua mpenzi ...Marubani waliogoma Kenya wapewa saa 24 kurejea kazini
Takribani abiria 10,000 wameathiriwa kufuatia mgomo wa marubani wa Shirika la Ndege la Kenya, Kenya Airways (KQ) ulioanza leo Novemba 5, 2022 ...