Tag: Kenya
Maafisa wa Kenya wasababisha msururu wa malori 600 Mpaka wa Namanga
Malori zaidi ya 600 yanayosafirisha bidhaa kutoka Tanzania yamekwama kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania (Namanga) kwa zaidi ya wiki moja na ...Polisi Kenya wanamsaka Mtanzania aliyeua kisa ugali
Polisi nchini Kenya wanamsaka Mtanzania anayeshukiwa kumdunga kisu mwenzake katika eneo la uchimbaji dhahabu huko Narok nchini Kenya kisa kikidaiwa ni bakuli ...Kenya: Watumia magunia kama mbadala wa majeneza kuzika
Baadhi ya wakazi wa Ndindiruku kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya, wamelazimika kuwazika wapendwa wao kwa magunia kutokana na kushindwa kumudu gharama kubwa ...Kenya: Mgombea awatupia lawama wananchi kwa kumnyima kura baada ya kula hela zake
Mgombea aliyekuwa Mwakilishi katika Baraza la Kaunti (MCA) ya Meru, Festus Kithinji ambaye kura alizopata hazikutosha kumpa ushindi amegeuka gumzo baada ya ...Bien: Mahusiano kwenye miaka ya ishirini ni kupoteza muda
Mwimbaji mkuu wa kundi la Sauti Sol nchini Kenya, Bien-Aime Baraza amesema hashauri watu waliopo katika umri wa miaka ya ishirini kuwa ...Kenya yauza mirungi ya TZS bilioni 4 Somalia ndani ya siku nne
Kenya imeuza mirungi yenye thamani ya TZS bilioni 4.3 nchini Somalia ndani ya siku nne tangu kurejeshwa kwa soko hilo. Mpaka sasa ...