Tag: kesi
Jay-Z amfungulia kesi mwanamke aliyemtuhumu kwa ubakaji
Mwanamuziki Jay-Z amemshitaki mwanamke aliyefuta kesi aliyomtuhumu kwa ubakaji baada ya tuzo za MTV Video Music Awards za mwaka 2000 akiwa na ...DRC yaifungulia kesi Rwanda Mahakama ya Haki za Binadamu, kesi kusikilizwa leo
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imefungua kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yenye ...Kesi ya Makonda na Lemutuz ya madai ya kuiba Range Rover yafutwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imefuta shauri la madai lililofunguliwa na mfanyabiashara Patrick Kamwelwe dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar ...Kesi ya Mdee na wenzake yahairishwa hadi Machi 2023
Kesi iliyofunguliwa na wabunge 19 wakipinga uamuzi wa CHADEMA kuwafukuza uanachama, imeahirishwa na Mahakama Kuu baada ya wakili anayewakilisha CHADEMA, Peter Kibatala ...Washtakiwa wa mauaji ya Askari Loliondo waachiwa huru
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru washtakiwa wote 24 wa kesi ya mauaji ya Askari wa Jeshi la Polisi, Koplo Ganus ...Wakili: Wabunge 19 wataendelea kuwa wabunge, kesi haijafutwa
Wakili anayeisimamia kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Emmanuel Ukasu amesema kesi ...