Tag: Kigoma
Polisi waanza uchunguzi wanasiasa Kigoma kukusanya namba za vitambulisho vya kura
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limeanza uchunguzi kufuatia tuhuma zinazohusisha baadhi ya viongozi wa kisiasa wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, wanaodaiwa ...Polisi yaua majambazi watatu Kigoma
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma limesema watu watatu waliokuwa majambazi wameuawa baada ya majibizano ya risasi na Askari Polisi wakati wakifanya jaribio ...Treni ya abiria yapata ajali Kigoma na kujeruhi 70
Treni ya abiria namba Y14 ikiwa na kichwa cha treni namba 9002, mabehewa 12 ya abiria, behewa moja la vifurushi (parcel) na ...Bodaboda jela miaka 30 kwa kumbaka abiria wake mkoani Kigoma
Mahakama ya Hakimu Mkazi Uvinza imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela dereva wa bodaboda, Ruben Gerishon (24) mkazi wa Kijiji cha Mlela ...Wananchi Kigoma wafunga barabara kushinikiza ramli ili kufukuza wachawi
Jeshi la Polisi mkoani Kigoma linawashikilia watu watano wakazi wa Kijiji cha Ilagala kata ya Ilagala wilayani Uvinza mkoani Kigoma walioshiriki kufunga ...








