Tag: kijana
Adaiwa kumuua kijana baada ya kumkuta chumba cha watoto wa kike
Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia Mirumbe Nyamuhanga (40) mkazi wa Mtaa wa Rwamlimi Manispaa ya Musoma kwa tuhuma za kuhusika na ...Kijana ashikiliwa kwa kubaka wanawake wanne
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia kijana aitwaye Piere Saimon (20), mkazi wa Nzuguni B kwa tuhuma za kubaka wanawake wanne wa ...Polisi wamsaka kijana anayedaiwa kuua ndugu zake Kenya
Polisi wa Ol Kalou nchini Kenya wanamsaka kijana mwenye umri wa miaka 27 anayetuhumiwa kuwaua ndugu zake na kuwajeruhi watoto wawili kwa ...Kijana ashikiliwa kwa kupanga njama za kumuua mama yake
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Seven Kipara (38) mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama za kumuua mama yao mzazi, ...Kijana wa miaka 20 ahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti ndugu yake
Mashauri Ng’oga Shauri (20) mkazi wa kitongoji cha Mwankuba, kijiji cha Nyambiti, Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, amehukumiwa kifungo cha maisha jela ...Mwanaume apelekwa polisi kwa kwenda ukweni mikono mitupu
Kisa cha kustaajabisha kimetokea huko Bukwo nchini Uganda baada ya bwana harusi mmoja, Maikut Samuel (60) kukamatwa na familia ya mke wake ...








