Tag: Kilimanjaro
Kiongozi wa CHADEMA ashikiliwa kwa kuhamasisha uvamizi kwa wasimamizi wa uchaguzi
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Eliewaha Mgonja, (42) ...Ashikiliwa kwa tuhuma za kumnyonga mtoto wa miaka saba
Mwanaume mmoja mkazi wa Kijiji cha Mahango wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za kumfanyia ...Watu 8 wakamatwa kwa tuhuma za kumuua Mgambo Kilimanjaro
Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linawashikilia watu nane kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Farijara Hamis Mboya, maarufu kwa jina la ...Moto wazuka Mlima Kilimanjaro
Moto ambao chanzo chake bado hakijajulikana umezuka katika Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro na kuzua taharuki kwa wakazi wa mji wa Moshi. Akizungumza ...Amuua baba mkubwa na mkewe akidai wanamloga
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema Polisi wanamshikilia Jonas Mushi mkazi wa Manushi wilayani Moshi kwa tuhuma za kumuua ...Afariki kwa kunywa pombe akiwa kwenye dozi
Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Noel Mfoi (20) mkazi wa Sanya Juu Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro amefarikia dunia kwa ...