Tag: kiswahili
Nigeria kuzindua roboti wa Kiafrika anayezungumza Kiswahili
Nigeria inatarajia kuzindua roboti ya kwanza barani Afrika yenye sura ya binadamu iliyopewa jina la ‘Omeife’ leo Desemba 02, 2022 huko Abuja. ...Mawaziri Uganda kuanza masomo ya lazima ya lugha ya Kiswahili
Baraza la Mawaziri nchini Uganda linatarajia kuanza masomo ya lazima ya lugha ya Kiswahili kuanzia wiki ijayo ili kuimarisha uwezo wao katika ...Rais wa Sri Lanka akimbia nchi
Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa amekimbia nchi kwa ndege ya kijeshi huku maandamano makubwa yakiendelea nchini kwake kuhusu mdororo wa kiuchumi. ...Maelekezo 7 ya Dkt. Mpango katika kukuza Kiswahili duniani
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa maelekezo saba ili kukuza matumizi sahihi ya lugha ya Kiswahili nchini na ulimwenguni, wakati wa ...Kiswahili chatangazwa lugha rasmi Uganda
Baraza la Mawaziri la Uganda limeridhia uamuzi wa viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kutumia Kiswahili kama lugha rasmi. Akizungumza ...Tanzania kusaini mkataba wa ushirikiano kufundisha Kiswahili Afrika Kusini
Tanzania na Afrika Kusini zinatarajiwa kusaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika masuala ya elimu msingi katika Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili ...