Tag: kodi
TRA yakanusha kutoza kodi kwa kila kitanda nyumba za wageni
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekanusha taarifa kuwa wamiliki wa nyumba za wageni wanatozwa kodi kwa kila kitanda. Badala yake, imeeleza kuwa ...Serikali ya Kenya yafunga jengo la Freemason kwa kutolipa kodi
Serikali ya Kaunti ya Nairobi nchini Kenya imefunga jengo la Freemasons’ Hall la Grand Lodge of East Africa lililoko katikati ya jiji ...Rais: Tutaunda kamati kutatua changamoto za kodi kwa wafanyabiashara
Rais Samia Suluhu amesema Serikali itaunda kamati itakayoshirikisha wajumbe kutoka serikalini na sekta binafsi ili kupitia kwa undani mfumo mzima wa kodi ...TANESCO: Ongezeko la kodi ya majengo kwenye LUKU ni madeni ya nyuma
Kufuatia malalamiko kuhusu ongezeko la viwango vya malipo ya kodi ya majengo katika ununuzi ya umeme kuanzia Julai 1, 2024, Shirika la ...WHO yapendekeza pombe ziongezewe kodi
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa wito wa kuongezwa ushuru kwenye bidhaa za pombe na vinywaji vyenye sukari ili kupunguza kwa kiasi ...Mpangaji adaiwa kumuua mwenye nyumba kwa madai ya kodi
Mkazi wa Kijjiji na Kata ya Likongowele, wilaya ya Liwale mkoani Lindi, Siamini Mtopoka (40) amedaiwa kuuawa na mpangaji wake aitwaye Shabani ...








