Tag: Kombe la Dunia
MUBASHARA: Tazama hapa Robo Fainali Kombe la Dunia Colombia vs Tanzania (Wanawake U17)
Tanzania iko uwanjani hivi sasa nchini India ikichuana na Colombia kuwani kufuzu nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa Wanawake chini ya ...Tanzania kucheza na Colombia robo Fainali ya Kombe la Dunia
Timu ya Taifa ya Wanawake Chini ya Miaka 17 (Serengeti Girls), inatarajia kucheza na Colombia katika robo fainali baada ya kuandika historia ...Tanzania yatinga robo fainali Kombe la Dunia
Kikosi cha Tembo Warriors leo Oktoba 5, 2022 kimeendelea kuishangaza dunia kwa kuibamiza vibaya timu kali ya Japan katika mashindano ya Kombe ...Serikali yawaombea ajira vijana wa Tanzania nchini Qatar
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa akiongozana na Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Saidi Yakubu wamekutana na kufanya kikao ...Rais Samia: Kombe la Dunia kutembezwa Tanzania kuna maana kubwa
Rais Samia Suluhu Hassan amewaomba Watanzania kutumia fursa zinazoletwa nchini kuitangaza na kuisemea vizuri Tanzania pamoja na kutumia fursa hizo kibiashira. Ameyasema ...Tanzania yafuzu Kombe la Dunia (Wenye Ulemavu)
Timu ya Soka ya Tanzania ya Wenye Ulemavu, Tembo Warriors imefuzu kushiriki Mashindano ya Dunia ya mchezo huo yatakayofanyika nchini Uturuki 2022. ...