Tag: kubaka
Kijana ashikiliwa kwa kubaka wanawake wanne
Jeshi la Polisi mkoani Dodoma linamshikilia kijana aitwaye Piere Saimon (20), mkazi wa Nzuguni B kwa tuhuma za kubaka wanawake wanne wa ...Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mwanafunzi wa kidato cha Pili
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Lindi imemuhukumu kwenda jela miaka 30 Salumu Moshi Mkumbwa (20), mkulima na mkazi wa eneo la ...Ahukumiwa jela maisha kwa kubaka na kumlawiti mtoto wa miaka sita
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, imemhukumu Shabani Mohamed (27), mkazi wa Mchangani, kifungo cha maisha gerezani baada ya ...Padri aliyetuhumiwa kubaka mtoto wa miaka 12 ashinda kesi
Mahakama mkoani Kilimanjaro imetupilia mbali shitaka linalomhusu Paroko wa Parokia teule ya Mtakatifu Dionis Arobagita ya Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, Padri ...Mtoto wa miaka 14 ashtakiwa kwa madai ya kubaka mtoto mwenzake
Mtoto mwenye umri wa miaka 14 (jina linahifadhiwa) mkazi wa Mji mdogo wa Katoro Wilaya ya Geita mkoani Geita amefikishwa mbele ya ...Mwanamke ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kubaka mtoto
• Shani Suleiman (35) amehukumiwa kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa miaka 12. • Mwanamke huyo alianza ...








