Tag: kuchunguza
Serikali: Tunachunguza madai ya wanafunzi kufukuzwa kisa wazazi wao wanaunga mkono CHADEMA
Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza kuchunguzwa kwa taarifa ya wanafunzi 14 wa Shule ya Msingi Izinga, iliyopo ...Timu yaundwa kuchunguza vifo vya watu wawili waliouawa na Polisi Morogoro
Jeshi la Polisi limeunda timu maalum ili kuchunguza mauaji ya watu wawili na wengine wawili kujeruhiwa katika kijiji cha Ikwambi, Kata ya ...Kamati yaundwa kuchunguza matokeo ya Shule Kuu ya Sheria
Serikali imeunda kamati ya watu saba ili kuchunguza sintofahamu iliyojitokeza kwenye matokeo ya mitihani katika Shule Kuu ya Sheria Tanzania (Law School ...Benki Kuu kuchunguza sarafu ya kughushi ya TZS 500 inayosambaa mitaani
Benki Kuu ya Tanzania (BOT) imeanza kuchunguza sakata la sintofahamu kuhusu sarafu ya shilingi 500 baada ya kuonekana baadhi zikiwa na alama ...