Tag: kumbaka
Baba wa kambo akamatwa kwa kumbaka, kumlawiti mtoto wa mwaka mmoja hadi kufariki
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Doto Maduhu Sita (32) mkazi wa Kishiri, Wilaya ya Nyamagana ambaye ni baba wa kambo wa ...Mwalimu adaiwa kumlewesha mhitimu wa darasa la saba na kumbaka shuleni
Mwalimu wa taaluma katika shule ya Msingi Rulanda, wilayani Muleba, mkoani Kagera anatuhumiwa kumpaka vitu vinavyodhaniwa kuwa ni dawa za kulevya kisha ...Mwanaume aliyetuma wanaume 50 kumbaka mke wake akiri mashitaka
Mwanaume mmoja nchini Ufaransa anayeshtakiwa kwa kumuwekea dawa za kulevya mke wake na kuwaruhusu wanaume takribani 50 kumdhulumu kingono akiwa amelala katika ...Ahukumiwa miaka 30 kwa kumgeuza binti yake mke wake
Michael John Christopher maarufu kama ‘Omoro’ mkazi wa Nyambiti, Ngudu Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kosa ...Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto wake wa kambo wa miaka mitatu
Mahakama ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha imemhukumu kifungo cha maisha jela, John Sanare Lukuaya (23) mkazi wa Kijiji cha Kimnyaki, Kata ...Miaka 30 jela kwa kumbaka mlemavu wa viungo na akili
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Musoma mkoani Mara, imemhukumu kwenda jela miaka 30, Juma Ligamba (40), mkazi wa kijiji cha Kibubwa ...