Tag: kumuua
Adaiwa kumuua kijana baada ya kumkuta chumba cha watoto wa kike
Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia Mirumbe Nyamuhanga (40) mkazi wa Mtaa wa Rwamlimi Manispaa ya Musoma kwa tuhuma za kuhusika na ...Akiri kumuua mume wake na kumzika ndani ya chumba chao
Jeshi la Polisi mkoani Geita linamshikilia Martha Japhet (44) mkulima na mkazi wa Kitongoji cha Mzalendo Kijiji cha Mawemeru, Kata ya Nyarugusu ...Akiri kumuua mkewe kwa kuchelewa kurudi nyumbani
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linamshikilia Chimaguli Samamba (54), mkulima na mkazi wa Ugede- Songambele kwa tuhuma za kumuua mke wake ...Kijana ashikiliwa kwa kupanga njama za kumuua mama yake
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Seven Kipara (38) mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama za kumuua mama yao mzazi, ...Polisi wamsaka mwanamke kwa tuhuma za kumuua mchepuko wa mume wake
Polisi mjini Kisumu nchini Kenya wanamsaka mwanamke anayedaiwa kumchoma kisu na kumuua mwanamke mwingine aliyeshukiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mume ...Akiri kumbaka mtoto wa miaka mitano, adai ni shetani alimpitia
Mahakama ya wilaya Sengerema mkoani Mwanza imemhukumu Nicholaus Paulo Kidoganya (21) mkazi wa Kijiji cha Nyehunge, kifungo cha miaka 30 jela baada ...








