Tag: kupata haki sawa na wafanyakazi
Wanaofanya kazi ya ngono nchini Ubelgiji kupata haki sawa na wafanyakazi wa sekta nyingine
Wafanyakazi wa ngono nchini Ubelgiji sasa wanapata ulinzi sawa na wafanyakazi wa sekta nyingine kupitia sheria mpya ya kihistoria iliyopitishwa mwezi Mei ...