Tag: kupotea
Rais Samia aliagiza Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya watu kupotea
Rais Samia Suluhu Hasaan ameliagiza Jeshi la Polisi nchini kuongeza jitihada katika kukomesha matukio ya watu kupotea pamoja na kutafuta mwarobaini kukomesha ...Jeshi la Polisi: Tumeanza kufanya uchunguzi kupotea kwa Shadrack
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limesema limeanza kufanya ufuatiliaji na uchunguzi wa taarifa ya kupotea kwa kijana Shadrack Chaula (24) mkazi ...Wanne wakamatwa kwa kusambaza taarifa za watoto kutekwa
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kurekodi na kusambaza taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii kuhusu ...Aslay ataja kilichosababisha apotee kwenye muziki
Msanii wa muziki Tanzania, Aslay Isihaka kwa mara ya kwanza ameweka wazi mambo yaliyomfanya apotee kwenye tasnia ya muziki huku akitaja kifo ...






