Tag: kusitisha
Marekani yapanga kusitisha ufadhili kwa Shirika la chanjo
Marekani inapanga kusitisha ufadhili wake kwa shirika la Utoaji wa Chanjo Duniani (GAVI) ikiwa ni sehemu ya juhudi za Rais Donald Trump ...WHO yasema zaidi ya milioni 10 wanaweza kuambukizwa HIV baada ya Marekani kusitisha misaada
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha uwezekano wa maambukizi mapya ya HIV zaidi ya milioni 10 na vifo vya watu milioni 3, ...Waasi DRC watangaza kusitisha mapigano
Muungano wa waasi Mashariki mwa DRC unaojumuisha M23 umetangaza kusitisha mapigano kutokana na sababu za kibinadamu kuanzia Februari 4, mwaka huu. Muungano ...Trump atangaza kusitisha misaada Afrika Kusini
Rais wa Marekani, Donald Trump, amedai kuwa Afrika Kusini inataifisha ardhi na kuwatendea vibaya watu wa tabaka fulani, kutokana na hayo, ametangaza ...Marekani yaitaka Rwanda kusitisha mapigano DRC
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeishinikiza Rwanda kusitisha mapigano mara moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, huku ikitoa tahadhari ...