Tag: Kutibu corona
Kenya yabaini uwepo wa aina (strains) tisa za virusi vya corona
Taasisi ya Utafiti wa Tiba nchini Kenya (KEMRI) imethibitisha uwepo wa angalau aina (strains) tisa za virusi vya corona vinavyosambaa nchini humo. ...Shirika la Afya Duniani kuifanyia majaribio dawa ya corona ya Madagascar
Rais wa Madagascar, Andry Rajoelina amesema kuwa Shirika la Afya Duniani (WHO) limekubali kuifanyia majaribio ya binadamu dawa inayoripotiwa kutibu corona inayozalishwa ...Taarifa ya wizara afya kuhusu kupungua kwa wagonjwa wa corona Tanzania
Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Mabula Mchembe amesema idadi ya watu waliopata maambukizi ya wagonjwa wenye maambukizi ya virusi vya corona ...Virusi vya corona huenda visiishe kabisa, WHO imetahadharisha
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuwa virusi vya corona huenda visiishe kabisa, huku likitoa tahadhari dhidi ya wanaojaribu kueleza lini virusi ...