Tag: kuua
Mama ashikiliwa tuhuma za kuua watoto wake watatu wakiwemo pacha
Polisi wa Mlolongo, Kaunti ya Machakos nchini Kenya wanamshikilia mwanamke aitwaye Linet Mubaba, anayedaiwa kuwapa sumu watoto wake watatu baada ya kutokea ...Mwanamke ateketeza jengo akijaribu kuua mende Korea Kusini
Polisi nchini Korea Kusini wamesema wanatafuta kibali cha kumkamata mwanamke (20) aliyesababisha moto katika jengo la makazi wakati akijaribu kuua mende kwa ...Polisi wamsaka kijana anayedaiwa kuua ndugu zake Kenya
Polisi wa Ol Kalou nchini Kenya wanamsaka kijana mwenye umri wa miaka 27 anayetuhumiwa kuwaua ndugu zake na kuwajeruhi watoto wawili kwa ...Ahukumiwa miaka saba jela kwa kuua bila kukusudia
Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro imemhukumu kifungo cha miaka saba jela Shigela Washa Buhimila (32), mkazi wa Tuliza Moyo, Wilaya ya Ulanga, ...Mwenyekiti na Balozi wake wahukumiwa jela maisha kwa jaribio la kuua
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imewahukumu kifungo cha maisha jela watu watano, wakiwemo mwenyekiti wa kijiji na balozi wake, baada ya kupatikana ...Mwanamke akiri kuua mtoto wa miaka 12 Arusha
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia Jaina Mchomvu kwa tukio la mauaji ya mtoto aitwaye Mariam Juma (12) mkazi wa kwa ...








