Tag: Libya
Libya: Benki Kuu yasitisha huduma baada ya Mkuu wa Idara ya Habari kutekwa
Benki Kuu ya Libya imesitisha shughuli zote na kutangaza kutoendelea hadi Mkurugenzi wa Idara ya Teknolojia ya Habari wa benki hiyo, Musab ...Watu 10,000 wahofiwa kupotea kutokana na mafuriko nchini Libya
Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Msalaba Mwekundu (IFRC) limebainisha kwamba takriban watu 10,000 wanahofiwa kupotea kutokana na mafuriko makubwa nchini Libya. ...