Tag: maandamano
Polisi yapiga marufuku maandamano ya Desemba 9
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga ...Rais Samia: Waliofuata mkumbo kwenye vurugu Oktoba 29 waachiwe
Rais Samia Suluhu Hassan ameielekeza Ofisi ya Mashtaka kuwafutia makosa vijana walioonekana kushiriki vurugu siku ya uchaguzi, Oktoba 29, 2025 kwa kufuata ...Rais Ruto alaani walioshambulia polisi wakati wa maandamano
Rais wa Kenya, William Ruto amelaani mashambulizi dhidi ya polisi yaliyotokea wakati wa maandamano ya kizazi cha Gen-Z siku ya Jumatano, akisema ...Jaji Mkuu Mstaafu Kenya ajiunga kwenye maandamano ya Gen Z
Jaji Mkuu Mstaafu nchini Kenya, David Maraga amejiunga na maandamanao ya vijana (maarufu Gen Z) jijini Nairobi akilaani ukatili wa maafisa wa ...Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamano ya CHADEMA
Jeshi la Polisi limepiga marufuku na kutoa onyo kwa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kuendelea kuhamasisha wananchi kujihusisha ...Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi kushiriki maandamano Mwanza
Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa amethibitisha kushiriki katika maandamano ya ...








