Tag: Mahakama Mbeya
Mbeya: 14 washitakiwa kwa uhujumu uchumi, kisa mapato ya halmashauri
Watu 14 wamefikishwakatika Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Mbeya na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi Namba 03/2023 wakituhumiwa kuendesha genge la uhalifu ...