Tag: Mahakama ya Kisutu
Usafiri wakwamisha Mbowe kufikishwa mahakamani
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu wanaokabiliwa na kesi ya ugaidi wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri ...Mahakama yatoa hukumu kesi ha Maxence Melo na Mike Mushi
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemtia hatiani Mkurugenzi wa Jamiiforums Maxence Melo, katika shitaka namba mbili la kuzuia ...