Tag: Mahakama
Mahakama yaamuru nyumba ya mtoto wa Mbowe ipigwe mnada
Mahakama Kuu ya Tanzania imeamuru nyumba ya mkurugenzi wa gazeti la Tanzania Daima, Dudley Mbowe iliyoko eneo la Mikocheni Dar es Salaam ...Rais Samia ahimiza mahakama kutumia teknolojia kutatua migogoro
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ukuaji wa soko, teknolojia na ubunifu ni moja kati ya mambo ambayo yanaweza kusababisha migogoro na miingiliano, ...Zipi sababu za mahakama kutamka kuwa ndoa iliyofungwa ni batili?
Kutokana na mahakama kutotambua ndoa na kuziita batili baada ya mke au mume kudai mirathi pindi mwenza wake anapofariki, watu wengi hujiuliza ...Mahakama yatengua hukumu ya Mfalme Zumaridi
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imetengua hukumu ya kifungo cha miezi 12 aliyopewa Diana Bundala (Mfalme Zumaridi) na wenzake nane baada ya ...Mahakama yaamuru nyumba iuzwe kulipia deni la mahari
Mahakama ya Wilaya ya Meatu imeamuru nyumba ya mkazi wa Kijiji cha Nkoma Mkoa wa Simiyu, Seleman Mussa (65), kuuzwa ili kulipa ...Ahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kubaka na kuua
Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemhukumu kunyongwa hadi kufa Mohamed Njali, kwa kosa la kumbaka na kumuua kwa kumkaba Atika Chesco Kivanule ...