Tag: Mahakama
Mwanaume aomba mahakama ivunje ndoa yake kutokana na uzuri wa mkewe
Mwanamume mwenye umri wa miaka 40 kutoka nchini Zambia, Arnold Masuka, ameiomba mahakama kuvunja ndoa yake kutokana na urembo wa kipekee alionao ...Kesi ya Makonda na Lemutuz ya madai ya kuiba Range Rover yafutwa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imefuta shauri la madai lililofunguliwa na mfanyabiashara Patrick Kamwelwe dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar ...Mahakama yasema kuondolewa kwa CAG, Prof. Assad kulikuwa batili
Mahakama Kuu Tanzania imesema uamuzi wa kumwondoa kwenye utumishi wa umma aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa ...Washtakiwa wa mauaji ya Askari Loliondo waachiwa huru
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru washtakiwa wote 24 wa kesi ya mauaji ya Askari wa Jeshi la Polisi, Koplo Ganus ...Mahakama yaulinda ubunge wa Mdee na wenzake
Mahakama Kuu Kanda ya Dar esa Salaam imetoa zuio la muda kuhusu kutofanyika chochote kwenye ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 ...Wakili: Wabunge 19 wataendelea kuwa wabunge, kesi haijafutwa
Wakili anayeisimamia kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Emmanuel Ukasu amesema kesi ...