Tag: Mahakama
Mahakama yaulinda ubunge wa Mdee na wenzake
Mahakama Kuu Kanda ya Dar esa Salaam imetoa zuio la muda kuhusu kutofanyika chochote kwenye ubunge wa Halima Mdee na wenzake 18 ...Wakili: Wabunge 19 wataendelea kuwa wabunge, kesi haijafutwa
Wakili anayeisimamia kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama na Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Emmanuel Ukasu amesema kesi ...Ashtakiwa kwa kukutwa na sehemu tano za siri za wanawake
Salum Nkonja mkazi wa Maswa Simiyu amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa madai ya uhujumu uchumi yenye mashtaka 11 ...Ahukumiwa jela maisha kwa kumlawiti mtoto wa dada yake
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha maisha na fidia ya TZS milioni 10 Ramadhan Musa Chewa (34) mkazi ...Tazania yatenga bilioni 4 kujenga makao makuu ya Mahakama ya Afrika
Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, Imani Aboud ameipongeza Serikali ya awamu ya sita kwa kupitisha bajeti ...Mahakama yatangaza nafasi za ajira mpya 207
Tume ya Mahakama kupitia Ofisi ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma imetangaza nafasi mpya za ajira 207 za sekta ya mahakama katika ...