Tag: Mahakama
Mahakama Kenya yaamuru Serikali kuweka wazi mkataba wa trilioni 9 wa SGR
Mahakama Kuu mjini Mombasa imeamuru Serikali kuwapa wanaharakati wawili mikataba inayohusiana na ujenzi wa mradi wa reli ya kisasa (SGR) inayohusisha Serikali ...Mwanafunzi mtoro amponza Mtendaji Kata
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemfikisha mahakamani Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nkinga wilayani Igunga, Salama Habibi Ziada kwa ...Raia Mzungu ampiga Risasi mwanamke mweusi akidai ni Kiboko
Paul Hendrik van Zyl (77) raia mzungu aishie Afrika Kusini amefikishwa Mahakamani baada ya kumpiga risasi na kumjeruhi mwanamke mweusi akidai kuwa ...Wafuasi wa Zumaridi ‘wamsaliti’ gerezani
Wafuasi wa mshtakiwa Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi, anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha binadamu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Mkoa ...Washitakiwa watano kesi ya mauaji ya Dkt. Mvungi wahukumiwa kunyongwa hadi kufa
Washtakiwa namba 1, 2, 3, 4 na 6 wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kutiwa hatiani kwa mauaji ya Dkt. Sengondo Edmund ...