Tag: Mahakama
Mahakama yatangaza nafasi za ajira mpya 207
Tume ya Mahakama kupitia Ofisi ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma imetangaza nafasi mpya za ajira 207 za sekta ya mahakama katika ...Hatma ya uhuru wa Sabaya na wenzake kujulikana leo
Hatma ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita imepangwa kujulikana leo ambapo Mahakama ya ...Mdee na wenzake wakata rufaa mahakamani, bunge lashindwa kutoa uamuzi
Kufuatia sakata la wabunge 19 waliovuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa ...Mahakama Kenya yaamuru Serikali kuweka wazi mkataba wa trilioni 9 wa SGR
Mahakama Kuu mjini Mombasa imeamuru Serikali kuwapa wanaharakati wawili mikataba inayohusiana na ujenzi wa mradi wa reli ya kisasa (SGR) inayohusisha Serikali ...Mwanafunzi mtoro amponza Mtendaji Kata
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemfikisha mahakamani Ofisa Mtendaji wa Kata ya Nkinga wilayani Igunga, Salama Habibi Ziada kwa ...Raia Mzungu ampiga Risasi mwanamke mweusi akidai ni Kiboko
Paul Hendrik van Zyl (77) raia mzungu aishie Afrika Kusini amefikishwa Mahakamani baada ya kumpiga risasi na kumjeruhi mwanamke mweusi akidai kuwa ...








