Tag: mahakamani
IGP na wengine watano waitwa mahakamani kesi ya Heche
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetoa hati ya wito kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) na maofisa wengine ...Wafikishwa mahakamani kwa kuwahadaa wanaume kimapenzi na kuwaibia
Washukiwa watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Sheria ya Embu nchini Kenya kwa makosa ya kuwahadaa wanaume na kuwaibia pesa. Washtakiwa hao ni ...Ajifungua mahakamani baada ya kuachiwa kwa tuhuma za mauaji
Virginia Maingi amejifungua katika mahakama ya Kithimani, Kaunti ya Machakos nchini Kenya baada ya mahakama hiyo kumwachia huru kwa tuhuma za mauaji. ...Rais Trump afikishwa mahakamani, akana mashitaka yote
Rais Mstaafu wa Marekani, Donald Trump amefikishwa katika mahakama ya jinai ya Manhattan kujibu mashitaka yanayomkabili . Trump amekuwa Rais wa kwanza ...Padri kizimbani kwa tuhuma za wizi milioni 20
Padri Baltazar Sulle (63) ambaye ni Paroko wa Parokia ya Haydom, Kanisa Katoliki Jimbo la Mbulu Mkoa wa Manyara amepandishwa kizimbani katika ...Kitilya na wenzake wakimbilia mahakamani kupinga makubaliano na DPP
Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake wawili wamekimbilia mahakama ya Rufani kuomba kuruhusiwa kupinga makubaliano ...








