Tag: mama yake
Kijana ashikiliwa kwa kupanga njama za kumuua mama yake
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Seven Kipara (38) mkazi wa Ipwizi kwa tuhuma za kupanga njama za kumuua mama yao mzazi, ...Adaiwa kumuua mama yake wakigombea mali za baba yake
Jeshi la Polisi limesema mwanamke aliyefahamika kwa jina la Adela Dominick (74) ameuawa kwa kupigwa na kitu butu kichwani kisha kunyongwa kwa ...Binti adaiwa kumchinja mama yake akimtuhumu kumuua mtoto wake
Watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita kwa tuhuma ya kumuua kwa kumchinja mwanamke mmoja aliyetambulika kwa jina la Butamo ...Afariki kwa kuchapwa viboko 280 baada kumtukana mama yake
Nelson Mollel (32) mkazi wa Sanawari wailayani Arumeru mkoani Arusha amefariki baada ya kuchapwa viboko 280 na vijana wa mila wa eneo ...Adaiwa kumuua baba mzazi na kumjeruhi mama kwa kushindwa kumtafutia mke
Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia Kristatus Victory (23) mkazi wa Lukuledi wilayani Masasi kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Victory ...







