Tag: Marekani
Wamarekani waliohukumiwa kifo kwa jaribio la mapinduzi DRC washitakiwa Marekani
Marekani imewashitaki raia wake wanne kwa kuhusika kwenye jaribio la kupindua Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), baada ya watatu ...Marekani yatangaza kuzuia visa kwa raia wa Sudan Kusini
Marekani imetangaza kufuta visa zote za watu wenye pasipoti ya Sudan Kusini baada ya nchi hiyo kushindwa kuwapokea raia wake waliorejeshwa kutoka ...Marekani yapanga kusitisha ufadhili kwa Shirika la chanjo
Marekani inapanga kusitisha ufadhili wake kwa shirika la Utoaji wa Chanjo Duniani (GAVI) ikiwa ni sehemu ya juhudi za Rais Donald Trump ...Ripoti: Marekani yathibitisha kundi hatari la Mexico lilikuwa na maabara ya dawa za kulevya Kenya
Serikali ya Marekani imethibitisha kuwa kundi hatari la uhalifu kutoka nchini Mexico, Jalisco New Generation Cartel (CJNG), lilikuwa likiendesha maabara kubwa ya ...WHO yasema zaidi ya milioni 10 wanaweza kuambukizwa HIV baada ya Marekani kusitisha misaada
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha uwezekano wa maambukizi mapya ya HIV zaidi ya milioni 10 na vifo vya watu milioni 3, ...Marekani yamfukuza Balozi wa Afrika Kusini
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio, ametangaza kuwa Balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani, Ebrahim Rasool, hatakiwi tena nchini ...