Tag: Marekani
Mwili wa Mtanzania aliyekuwa anafanya kazi Google waopolewa Mto Miami, Marekani
Mwili wa Mtanzania, Abraham Mgowano (35) aliyekuwa akiishi nchini Marekani umekutwa ukielea kwenye Mto Miami, Jimbo la Florida nchini humo baada ya ...Niger yakata uhusiano wa kidiplomasia na Nigeria, Ufaransa, Marekani na Togo
Serikali ya kijeshi nchini Niger imetangaza kusitisha uhusiano wa kidiplomasia na nchi nne ambazo ni Nigeria, Togo, Marekani na Ufaransa kutokana na ...Marekani imefuta Visa ya Spika wa Bunge la Uganda kisa Sheria ya Kupinga Ushoga
Marekani imefutilia mbali visa ya Spika wa Bunge la Uganda, Anita Among huku mbunge, Asuman Basalirwa akisema yeye ndiye mwathirika wa kwanza ...China yaifungia kampuni kubwa ya teknolojia ya Marekani
China imetangaza kuwa bidhaa zinazotengenezwa na kampuni ya teknolojia ya Marekani, Micron Technology, ni hatari kwa usalama wa taifa hilo. Mamlaka ya ...Marekani yachangia kupunguza vifo vya UKIMWI na Malaria
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imenufaika na misaada kutoka nchini Marekani kwa zaidi ya miaka sita ambayo imechangia kwa kiasi kikubwa ...Wajue Marais wa Marekani waliowahi kuitembelea Tanzania kikazi
Tanzania inajiandaa kupokea ugeni mkubwa wa Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris ambaye anatarajiwa kuwasili nchini Machi 29 katika ziara ya ...