Tag: Marekani
Rais Dkt. Mwinyi na Dkt. Kikwete watunukiwa tuzo Marekani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi na Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete wamekabidhiwa Tuzo ya Rais ...China yadai Marekani imerusha maputo kwenye anga lake bila ruhusa
China imedai puto za Marekani zimeruka juu ya anga lake bila ruhusa kwa zaidi ya mara 10 tangu mwanzoni mwa mwaka 2022. ...Kampuni ya Adani yakanusha ripoti iliyotolewa na Marekani
Shirika la Kimataifa la India limesema ripoti ya madai iliyotolewa dhidi ya makampuni yake na Taasisi ya Utafiti ya Hindenburg yenye makao ...Putin ampa uraia wa Urusi aliyevujisha taarifa za siri za Marekani
• Edward Snowden apewa uraia wa Urusi baada ya kuvujisha taarifa za siri za Shirika la Usalama la Taifa nchini Marekani. • ...Dkt. Mpango kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Marekani
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani ambapo anatarajia kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika ...Marekani yasamehe mikopo kwa mamilioni ya wanafunzi
Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Serikali ya Marekani itasamehe kiasi cha dola 10,000 [sawa na TZS milioni 23.3] ya mikopo kwa ...