Tag: mauaji
Ashikiliwa kwa tuhuha za mauaji ya watoto watatu wa familia moja
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Doto Lubongeja mkazi wa Madundasi wilayani Mbarali, kwa tuhuma za mauaji ya watoto watatu wa ...Ndugu washitakiwa kwa mauaji ya msanii AKA
Ndugu wawili, Siyabonga na Malusi Ndimande wameshtakiwa kwa mauaji ya rapa maarufu wa Afrika Kusini, Kiernan Forbes (AKA) baada ya kurejeshwa kutoka ...Mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya mama wa kambo
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Tatuzo Yohana Mzumbwe, mkazi wa Masoko mkoani humo kwa tuhuma za mauaji ya mama yake wa ...Ashikiliwa kwa mauaji ya mdogo wake wa miaka mitano
Jeshi la Polisi mkoani Mara linamshikilia Nyabusa Musa Daudi (31) kwa tuhuma za mauaji ya Ibrahim Wambura Daudi (05) mkazi wa kijiji ...Mganga mbaroni kwa tuhuma za mauaji
Jeshi la Polisi mkoani Pwani linamshikilia kijana aitwaye Ally Juma Shaban (29) mganga wa tiba asilia na mkazi wa Makazi Mapya, Mlandizi ...Apatikana na hatia ya mauaji ya jirani yake aliyemkuta chini ya kitanda
Mwanaume mmoja huko Nakuru nchini Kenya aitwaye Cyrus Kipng’eno Rono amepatikana na hatia ya mauaji baada ya kumshambulia jirani yake aitwaye Moody ...








