Tag: mauaji
Askari watatu, mgambo mbaroni kwa mauaji Tabora
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia askari watatu wa Wakala wa Misitu Tanzania (TFS) pamoja na mgambo wanne kwa tuhuma za kusababisha ...Dereva Bodaboda ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua Stephen Chalamila
Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanaume mmoja dereva wa Bodaboda kwa tuhuma za mauaji ya Stephen Evaristo Chalamila (23) mkazi wa ...Wawili washikiliwa kwa mauaji Arusha
Watu wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Arusha kwa tuhuma za kumuua Israel Paulo (36), Mkulima na Mkazi wa Leguruki, Wilaya ...Padri anayedaiwa kuhusika kwenye mauaji ya mtoto albino asimamishwa kutoa huduma za kiroho
Jimbo la Katoliki la Bukoba limemsimamisha huduma za kichungaji, Padri Elipidius Rwegoshora anayedaiwa kuhusika katika mauaji ya mtoto albino, Asimwe Novart mpaka ...Ajifungua mahakamani baada ya kuachiwa kwa tuhuma za mauaji
Virginia Maingi amejifungua katika mahakama ya Kithimani, Kaunti ya Machakos nchini Kenya baada ya mahakama hiyo kumwachia huru kwa tuhuma za mauaji. ...Polisi: Tunawasaka waliozusha taarifa za mauaji ya raia wa Kihindi
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye mitandao ya jamii kuwa kuna raia watatu wenye asili ...